Natafuta mpenzi mtu mzima

Natafuta mpenzi mtu mzima

janson

New Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
1
Reaction score
4
Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.

Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.

Dini yake yoyote aendelee nayo.

Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar.

Awaze maisha ya upendo wa hishima.
Mapenzi ya kweli ndiyo mpango mzima.

Watoto msubiri, mwenyevigezo tuyajenge kupitia.
jansonjako1@gmail.com
 
Vigezo vyote ninavyo tatizo hapo kwenye pombe, dah bas tena
Kuuumbeeee[emoji39][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar
 
Back
Top Bottom