Natafuta mpenzi/mume

Rosa93

New Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
1
Reaction score
25
Habari zenu,

naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.

WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto.

WASIFU WAKE
-Awe mwaminifu na mkweli.
-Asiwe na majivuno na majigambo.
-Asiwe na mke.

PM kwa mazungumzo zaidi.
 
 
Nichek tuongee
 
Una kazi, maana naona umeweka tu elimu..??
 
Mwanamke wa hivi kweli kashindwa kupata mume tangu avunje ungo , kweli? Ila sharti lako la " cock" inaonesha una experience iliyotukuka hadi kusisimua hadhira uitakayo ikisoma hapa...in short utakuwa umejaaliwa urefu × upana wa "kisusio" ...anyway kila la heri kwa maana ataftaye hachoki.
 
Imegundulika ww tapeli..
 
Hlw
 
specification hazitoshi
type?
GB?
CAMERA?
RAM?
MILEAGE?
YEAR?
CHINA OR JAPAN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…