Natafuta mpenzi/mume

Natafuta mpenzi/mume

Aleluyaaaaa ,kweli jf kuna [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Habari zenu,

naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.

WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto.

WASIFU WAKE
-Awe mwaminifu na mkweli.
-Asiwe na majivuno na majigambo.
-Asiwe na mke.

PM kwa mazungumzo zaidi.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Habari zenu,

naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.

WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto.

WASIFU WAKE
-Awe mwaminifu na mkweli.
-Asiwe na majivuno na majigambo.
-Asiwe na mke.

PM kwa mazungumzo zaidi.
Mimi nipo teyar njoo pm Ila usiniombe hela,huwa mtu akiniomba ela napata na ugonjwa wa kujisahau.
 
Habari zenu,

naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.

WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto.

WASIFU WAKE
-Awe mwaminifu na mkweli.
-Asiwe na majivuno na majigambo.
-Asiwe na mke.

PM kwa mazungumzo zaidi.
kidume nipo hapa nicheki ,form six ila sjapata kazi bado nicheki facebook -musawaisrael
 
[HahahaQUOTE="ndaga boy mtemi, post: 28320840, member: 498649"][/QUOTE]zee la kudanga[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom