Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Bila Shaka ulimpata na ndoa mkafunga muftiMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam.
Nakuja hapa kwa mara ya kwanza,
Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe wapenzi kwa ajili ya kuja kuona.
Nipo serious sana ila ningependa awe Muislamu na awe mjasiriamali/muajiriwa.
Naomba sana mwenye nia ya dhati kabisa anicheki PM ili tuyajenge.
Ahsanteni......
Wassalamu.....
Bila Shaka ulimpata na ndoa mkafunga mufti
[emoji23][emoji23][emoji23] bado unatafutaBado Mkuu
Tatizo nini tangu 2017 hadi leo hujapata??!!! Tatizo nini maalim?Bado Mkuu
Tatizo nini tangu 2017 hadi leo hujapata??!!! Tatizo nini maalim?
Msikitini umekosa ustaadhat mashallah wa kumuoa?Nashangaa kiongozi, japo hii post kitambo mno aisee,
Ila kila jambo majaaliwa tuu...
Msikitini umekosa ustaadhat mashallah wa kumuoa?