Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli

Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli

Smart boy Shewedy

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
3,718
Reaction score
3,488
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam.

Nakuja hapa kwa mara ya kwanza,

Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe wapenzi kwa ajili ya kuja kuona.
Nipo serious sana ila ningependa awe Muislamu na awe mjasiriamali/muajiriwa.

Naomba sana mwenye nia ya dhati kabisa anicheki PM ili tuyajenge.

Ahsanteni......

Wassalamu.....
 
Bila Shaka ulimpata na ndoa mkafunga mufti
 
Mzee baba Daslam nzima umekosa mke ..unakuja tafuta uku jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hope umefanikiwa mkuu....kila la kheri
 
Back
Top Bottom