Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.

Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.

MPIKUSASA

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
112
Reaction score
6
mimi ni kijana wa miaka 33. Wasifu wangu ni mrefu wa kati, maji ya kunde,niliyejaa mwili wastani, nimtumishi sirikali na mjasiriamali. Natafuta mdada miaka 25-30 mwenye sifa zifuatazo, rangi yeyote, imani ya dini yeyote, elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea, awe na uwezo wa kujihudumia na kuhudumia mtu mwingine kiuchumi, kubwa kuliko awe anajua maana halisi ya mapenzi na kupenda, mwisho awe huru kutoka muda na wakati wowote.
 
Kujihudumia na kuhudumia wengine ki uchumi!!!! hahahahaaaa nimeipenda hii lol
 
Unatafuta mtandaoni? Jiandae kuopoa hackers na Stalkers!
 
Unatafuta mtandaoni? Jiandae kuopoa hackers na Stalkers!

Kuna watu na bahati zao, kuna waliofunga ndoa humu! Wengeni wako uchumbani saivi! Wote wamejuana through JF! Usipime!


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom