MPIKUSASA
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 112
- 6
mimi ni kijana wa miaka 33. Wasifu wangu ni mrefu wa kati, maji ya kunde,niliyejaa mwili wastani, nimtumishi sirikali na mjasiriamali. Natafuta mdada miaka 25-30 mwenye sifa zifuatazo, rangi yeyote, imani ya dini yeyote, elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea, awe na uwezo wa kujihudumia na kuhudumia mtu mwingine kiuchumi, kubwa kuliko awe anajua maana halisi ya mapenzi na kupenda, mwisho awe huru kutoka muda na wakati wowote.