Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

Adejohn

Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
9
Reaction score
18
Hello! Samahanini jaman mie naitwa ade am single and ntafurah sana kama ntampata ❤️my oxygen*... apa.

By the way;
naishi Dar es salaam,
Umri wangu n miaka 24,
Nina mtoto mmoja ila Bad luck baba yake alifariki Dunia🥺. So nahitaji faraja na mwanaume wa kuspend nae na kutengeneza maisha.

#Nahitaji mpenzi anaejielewa anaejua kumcare mwanamke na anaejua kupenda haswaaah.
MUME WA MTU SIMTAKI please!

VIGEZO:
Awe tayari kunicare mm na mtoto wangu.
Asiwe mtumiaji wa pombe wala sigara.
Awe na rangi yoyote.
Mrefu.
Umri ni namba lakin nahitaj kuanzia miaka 35 na kuendelea.
Mcha Mungu mwenye hofu ya Mungu, Dini yoyote Mungu ni mmoja.
Msafi, mtanashati, mcheshi, anaependa watoto.
Mkazi wa Dar es salaam na kama ni wa nje ya Dar awe tayari kuja dar for the first hug and meeting.
Awe na kazi au aliyejiajiri.

ABOUT ME:
Mie n mrefu kiasi.
Maji ya kunde.
Mwembamba kiasi.
Nina degree.
Nimejiajiri.

NOTE: Ukiwa na tatizo lolote usiogope kuniambiaaa... tunaweza kuzungumza tukalitatua mapenzi n kuelewana, kuheshimiana, kusikilizana, kuvumiliana na kuchukuliana vzuri katika hali zote kiafya, kimwili na kila ktu so be free.

Asante kwa time yako kupitia post yangu na Karibu sana mpenz*.❤️❤️❤️

#Kwa aliye serious tu ndo aniPM please!
 
Mpenzi mwenye moyo wake ha ha [emoji3][emoji3] kwani wengine wana nini mrembo au wana figo tuu?? Nakutakia kila raheri umpate Mme mwenye moyo wake.
Ni wewe TU hujaelewa iyo code[emoji4]
 
Back
Top Bottom