Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

Ohoooo!! Bado hamjakoma tu 🤣🤣🤣🤣
 
#Nahitaji mpenzi anaejielewa anaejua kumcare mwanamke na anaejua kupenda haswaaah...[emoji848]

Hiyo code hapo juu[emoji115] nmeielewa[emoji4][emoji120]
Hizo code za pesa mzee.
 
Hapa hakuna mke wala mpenzi, huyu mdangaji kabisaaa😄😄😄😄


Screenshot_2022-12-20-11-52-26-943_com.whatsapp.w4b.jpg
 
Hello! Samahanini jaman mie naitwa ade am single and ntafurah sana kama ntampata [emoji3590]my oxygen*... apa.

By the way;
naishi Dar es salaam,
Umri wangu n miaka 24,
Nina mtoto mmoja ila Bad luck baba yake alifariki Dunia[emoji3064]. So nahitaji faraja na mwanaume wa kuspend nae na kutengeneza maisha.

#Nahitaji mpenzi anaejielewa anaejua kumcare mwanamke na anaejua kupenda haswaaah.
MUME WA MTU SIMTAKI please!

VIGEZO:
Awe tayari kunicare mm na mtoto wangu.
Asiwe mtumiaji wa pombe wala sigara.
Awe na rangi yoyote.
Mrefu.
Umri ni namba lakin nahitaj kuanzia miaka 35 na kuendelea.
Mcha Mungu mwenye hofu ya Mungu, Dini yoyote Mungu ni mmoja.
Msafi, mtanashati, mcheshi, anaependa watoto.
Mkazi wa Dar es salaam na kama ni wa nje ya Dar awe tayari kuja dar for the first hug and meeting.
Awe na kazi au aliyejiajiri.

ABOUT ME:
Mie n mrefu kiasi.
Maji ya kunde.
Mwembamba kiasi.
Nina degree.
Nimejiajiri.

NOTE: Ukiwa na tatizo lolote usiogope kuniambiaaa... tunaweza kuzungumza tukalitatua mapenzi n kuelewana, kuheshimiana, kusikilizana, kuvumiliana na kuchukuliana vzuri katika hali zote kiafya, kimwili na kila ktu so be free.

Asante kwa time yako kupitia post yangu na Karibu sana mpenz*.[emoji3590][emoji3590][emoji3590]

#Kwa aliye serious tu ndo aniPM please!

Nipo Dar,
Mrefu
Under 25
Degree
Nasoma
Stumii kilevi wal sigara

Bdo sjafkiria kutafuta mwenz wa maisha,

kila la kheri bibie
 
Uwa mnanikosha hapo asiwe mvutaji wa sigara au anatumia pombe mara ana hofu ya Mungu street au chuo hukuona uliyepemdezwa naye? All in all God bless kwa hitaji lako ila kila mwamba una matatizo yake.
 
Back
Top Bottom