Natafuta mpenzi mwenye mshahara ya ukwazaji.

Natafuta mpenzi mwenye mshahara ya ukwazaji.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Awe mbinafsi kufuru,si lazima awe mzuri,awe mdokozi pia muhimu zaidi awe ameshawahi kusutwa mara kadhaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna matatu...

1. Una mzaha

2. Haupo vizuri kichwani!

3. Umepewa masharti na mganga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna matatu...

1. Una mzaha

2. Haupo vizuri kichwani!

3. Umepewa masharti na mganga
Unataka mchumba mwenye pesa wakati babayako hanakitu kua nahuruma kama mamyako alivomuonea huruma baba yako
 
Back
Top Bottom