Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Btw, ndonya ni nini?/ni ipi hasa?
Wagogo najua huwa/walikuwa wanaweka kama kovu la mviringo katikati ya paji la uso. Wamakonde wao ukiacha chale (kubwa)/michoro usoni, kwa wanawake walikuwa wanautoboa mdomo wa juu na kuweka kipisi cha mti cha mviringo hivi. Kuna mtu aliwahi kuniambia hiyo ya wamakonde ndio 'ndonya' (na si ile ya wagogo), lakini mimi kwa nilivyokuwa najua hiyo ya wagogo ndio 'ndonya' (lakini sijui ile ya wamakonde inaitwaje!) - ilikuwa ni ubishani ambao haukwisha!
Wamakonde si uende Mtwara au Mozambique kabisa!
Kuna jamaa anaoteka Lichinga ntamstua