MrSocrates
Member
- Sep 29, 2017
- 46
- 30
Kijana tafuta pesa utapata wa rika lako,acha kupenda mtelemko,utapata ukimwi au ubakwe,Magufuli baba tafadhali, tafadhali legeza kidogo. Hali sio hali kabisa, vijana wanaanza kuukana uanamume wao, vijana wanataka kulelewa sasa, mkuu unawapeleka vijana kusiko, wakikosa wa kuwalea wa jamii ya kike watatafuta wa jamii yao! Wahurumie mkuu, imetosha sasa!
hawa madogo wanakera balaa .unamchukulia tu wahuni wamle kibogaMagufuli baba tafadhali, tafadhali legeza kidogo. Hali sio hali kabisa, vijana wanaanza kuukana uanamume wao, vijana wanataka kulelewa sasa, mkuu unawapeleka vijana kusiko, wakikosa wa kuwalea wa jamii ya kike watatafuta wa jamii yao! Wahurumie mkuu, imetosha sasa!
ngoja nimkubalia nimwambie aje kwangu nampikia na supu ya kuku akimaliza nampeleka kitandani namuitia wahuni wamle kiboga ndo atashika adabu.Mkuu hii ni dalili mbaya sana ya kulenga mwanamke aliyekuzidi umri ili akulee.na ukitembea na mwanamke aliyekuzidi umri utazeeka kabla ya muda.Tafuta mnaoendana kiumri hata kimawazo mtaendana
elimu ya kidato cha nne + college certificate ya fani ya IT(information Technology)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]ngoja nimkubalia nimwambie aje kwangu nampikia na supu ya kuku akimaliza nampeleka kitandani namuitia wahuni wamle kiboga ndo atashika adabu.