Natafuta mpenzi wa kike

Natafuta mpenzi wa kike

mark11

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
29
Reaction score
1
Nina miaka 25, mhandisi mwanafunzi niko mwaka wa mwisho. Natafuta mpenzi wa kike, ambaye atakua tayari kua mke baadae. Awe na umri usiozidi miaka 23, mkristo mwenye heshima zake na alie tayari kupima vvu. Asiwe mfupi sana wala mnene, mvumilivu na mkweli. Kama uko serious ni pm, au tuma email: jamaaflani@gmail.com

Thanks!
 
Back
Top Bottom