Natafuta mpenzi wa kike

Natafuta mpenzi wa kike

GOLD BOY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
387
Reaction score
490
Habari za muda huu wanajf, natafuta mpenzi jinsi ke mimi ni jinsia me awe na sifa zifuatazo

1.Awe mrefu kiasi
2.Umri kuanzia 23-27
3.Dini awe muislam
4.Awe anapatikana Morogoro
5.Asiwe na mtoto
6.Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea

NB, Situmi nauli anicheki DM
 
Kichwa cha Habari muhindi ndani ya Habari mlugulu wa 'mologolo'......

Anyways umeanza kiubabe Sana mkuu. Kuwa na Amani tuma tu nauli. Kuibiwa nauli mbili Tatu wakati wa kutafuta mke si mbaya
 
Kichwa cha Habari muhindi ndani ya Habari mlugulu wa 'mologolo'......

Anyways umeanza kiubabe Sana mkuu. Kuwa na Amani tuma tu nauli. Kuibiwa nauli mbili Tatu wakati wa kutafuta mke si mbaya
Aje kwa nauli yake, ykrudi nmpitia mwenyeww[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Morogoro Ni Kati ya miji iliyojaaliwa kua na wanawake wengi Sana.
Nenda pale sokoni, rusha jiwe, atakalopigwa nalo ondoka naye. Moro huna haha ya kumtongoza.
 
Morogoro Ni Kati ya miji iliyojaaliwa kua na wanawake wengi Sana.
Nenda pale sokoni, rusha jiwe, atakalopigwa nalo ondoka naye. Moro huna haha ya kumtongoza.
Kingaru au?
 
Back
Top Bottom