natafuta mpenzi (wa kike)

natafuta mpenzi (wa kike)

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
68
Nina miaka 29, ni muajiriwa wa shirika flani hivi hapa dsm, si mnene sana, ni mrefu, maji ya kunde, ninapenda maendeleo.
Natafuta bint btn 23-27 ikimpendeza Mungu aje kuwa mke, napenda mtu mwenye kujiheshm na kujithamini, mwenye hofu ya Mungu awe mkristo, apendae maendeleo na mengne tutajuana mbele ya safari. Ni pm wadada
 
Hilo jina lakooo ndo LANTISHAAAA!
 
wasema c mnene sana, it means ni mnene kiac rit? ningekupm but mie ugonjwa wangu wanaume wembamba na warefu, blac flan au maji ya kunde c mbaya, anyway watakupm watoto wazuri just wait
 
Sio mnene kivile, meanin cko kwenye unene na cko kwenye wembamba
 
Sio mnene kivile, meanin cko kwenye unene na cko kwenye wembamba
Umeanza blah blah sasa, baada ya kubanwa na mdada kusema yeye hupenda wanaume wembamba umeanza kubadili maelezo, mara wewe si mnene kivile, mara huko kwenye wembamba, mara wewe mnene kiasi....... Kwanini usitupie picha yako full wadada wakuone jinsi ulivyo kuliko kuleta maelezo yenye utata namna hii?
 
Nahc kukufikiria bt weka picha yako kwanza

Maana jina lantisha labda ntafarijika na sura
 
avatar28726_3.gif
 
Nitumie picha yako kwa Pm nikutathimini kwanza. Mimi picha yangu ni kama unavyoniona hapo kwenye avatar yangu.
 
mmhh,ningeku pm ila umri unaotaka dah! Basi tena nimekuzidi 2yrs
 
wasema c mnene sana, it means ni mnene kiac rit? ningekupm but mie ugonjwa wangu wanaume wembamba na warefu, blac flan au maji ya kunde c mbaya, anyway watakupm watoto wazuri just wait

Nenda ukaombewe kama unaugonjwa wa wanaume ama sio siku zako zinahesabika
 
hahhahahahahah Tewe bana, hiyo ni lugha ya uficho tu kama ulipitapita kwenye shule zetu za kata utakuwa umeelewa, mie niko fit kabisa wala sihitaji hayo maombi ya kina kakobe, kiswahili ni lugha pana yenye misemo, tamasali, semi n.k
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom