Natafuta mpenzi wa kufunga nae ndoa

chi-mamy

Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
30
Reaction score
12
Natafuta mpenzi awe serious na mimi anipende jinsi nilivyo aniheshimu nami nitampenda na kumueshimu siku zote. Na mwisho tufunge ndoa takatifu.

Sifa za mpenzi wangu:
Umri :30-35

Awe na mapenzi ya dhati kwangu na kwa ndugu zangu.

Dini: mkristo

Kuhusu muonekano sijali point kubwa awe namapenzi yadhati kwangu anipende anijali kwakila kitu na mimi nitamjali zaidi.

Umri wangu miaka 25
Dini mkristo
Elimu yangu darasa la7

Napenda mwanaume atakayeridhika na mimi kwasababu sina kazi yakuniingizia kipato kwa kipindi hiki.

Karibini pm kwa aliye serious tu
 
nimekizi vigezo la sasa hauna kazi mama sindo utanipiga vibomo mpk nikome jamani

embu subiri wengine wanakuja
 
Kweli jf ni ya wote ilhali ujue kuandika,kusoma si lazima sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…