Natafuta mpenzi wa kufunga nae ndoa

Natafuta mpenzi wa kufunga nae ndoa

Endelea tu utawapata mafala wenye maTamaa watakaojilengesha.
mm walaaaaa!!!!!
Uwaga sipendi kuchukuliwa na msiofahamika!!!
 
Natafuta mpenzi awe serious na mimi anipende jinsi nilivyo aniheshimu nami nitampenda na kumueshimu siku zote. Na mwisho tufunge ndoa takatifu.

Sifa za mpenzi wangu:
Umri :30-35

Awe na mapenzi ya dhati kwangu na kwa ndugu zangu.

Dini: mkristo

Kuhusu muonekano sijali point kubwa awe namapenzi yadhati kwangu anipende anijali kwakila kitu na mimi nitamjali zaidi.

Umri wangu miaka 25
Dini mkristo
Elimu yangu darasa la7

Napenda mwanaume atakayeridhika na mimi kwasababu sina kazi yakuniingizia kipato kwa kipindi hiki.

Karibini pm kwa aliye serious tu
Ww ni jinsia gani? Maana tumeshuhudia mpaka mashoga wanatafuta wachumba siku hizi!
 
Back
Top Bottom