Natafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye

Natafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye

MTOTELA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
159
Reaction score
196
habarini wana JF natafuta mpenzi amabaye atakuja kuwa mke mbeleni, awe tayari kupima ukimwi, awe black au weupe asilia na si wakununua dukani, awe chini ya miaka 30, awe na elimu mwisho ya form six, awe mnene kiasi, awe na chura akitembea itikisike asiwe mwembamba wala mnene sana unene wa kiasi. aliye tayari aje DM
 
Back
Top Bottom