Natafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye shida na raha na baadaye awe mke wangu

Natafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye shida na raha na baadaye awe mke wangu

CoHU

Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
64
Reaction score
38
Habari zenu wana jamii?

Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo:
1.Nina 34yrs.
2.Maji ya kunde.
3.Kimo ni wastani(mrefu kiasi).
4.Mwembamba(sio sana ni mwili wa mazoezi).
5.Nimesoma hadi darasa la saba.
6.Sina kazi kwasasa(naunga unga tu ili siku ziende).
7.Kabila ni Mkinga(Mahanji).
8.Nimezaliwa kwenye Ukristo ila sio mdini(nipo nipo tu).

Kwa upande wa mwanamke sina vigezo ilimradi aridhike kuwa namimi kwenye shida na raha.

Njoo PM mpenzi wangu
 
Hiri rijamaa riko siriaz sema kusema harijasoma ni Riongo..wadada changamkieni Fura hiro ritakua RIHAYA rina hera na riko vizuri sema rimejiweka rooo kwaliti ili mrichurie poa..Ebu oneni Furasa kina dyadyaaa
 
Back
Top Bottom