Natafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye shida na raha na baadaye awe mke wangu

Natafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye shida na raha na baadaye awe mke wangu

Mafanikio hayaletwi na umri unaweza ukawa na miaka24 mambo yako yakawa safi unaweza kuwa na miaka 34 namambo yako yakawa si safi, unaweza ukawa unajituma kila siku lakini riziki ikawa siyako unaishia kupata hela ya kula tuu
34yrs,unaunga unga, Mkinga,sio mdini aisee mkuu nakutakia kila la kheri,usisahau kutuletea mrejesho

Ukimpata mpenzi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom