sijui....Ndio nini?
[emoji16][emoji16] ujue sikukuelewa mwanzo, anatuchezea mapichapicha huyu mkingaCOLLEGE OF HUMANITIES (CoHu)....
halafu darasa la saba.....
Unacheka nini sasa baada ya kuwahi offer, udumishe tamaduni za kikinga[emoji16][emoji16][emoji16] aisee nimejikuta nacheka, kila la kheri mkinga mwenzangu Heaven Sent njoo uolewe na kaka yangu kwani hutaki mwanaume mwenye mapenzi ya kweli wewe?
Haha mimi sio mkinga walaUnacheka nini sasa baada ya kuwahi offer, udumishe tamaduni za kikinga
Mikoa hiyo hiyo, hauendi mbali na nyumbaniHaha mimi sio mkinga wala
Natamani kukuoa ila basi tu..!Mikoa hiyo hiyo, hauendi mbali na nyumbani
[emoji16][emoji16][emoji16] ulivyokubali haraka hadi nimeogopaMikoa hiyo hiyo, hauendi mbali na nyumbani
[emoji16] hahaha huyo ndio mjanja kuliko wakinga wote ....[emoji16][emoji16] ujue sikukuelewa mwanzo, anatuchezea mapichapicha huyu mkinga
I just go with the flow.[emoji16][emoji16][emoji16] ulivyokubali haraka hadi nimeogopa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kama ulijua vileI just go with the flow.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] hahaha huyo ndio mjanja kuliko wakinga wote ....
34yrs,unaunga unga, Mkinga,sio mdini aisee mkuu nakutakia kila la kheri,usisahau kutuletea mrejesho
Ukimpata mpenzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app