Naitwa Daniella lyimo na umri wa miaka 23 , nimrefu so saana, sio mweusi wala mweupe, siyo mnene wala mwembamba nipo wastani, elimu yangu kidato cha nne, kazi mfanyabiashara, mzaliwa wa mkoani kilimanjaro
> VIGEZO VYA MWANAUME NINAYE MTAKA
>Awe na miaka kuanzia 27 hadi 38 asiwe mwembamba wala mnene awe wa wastani, rangi yotote mweupe,mweusi, choculate sawa
>Asiwe mchaga kabila nyingine sawa
>Awe na mapenzi ya dhati
>Elimu yoyote... Akipatikana anitafute namba nitatoa kidogo awe na mvuto jamaniee[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]