Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,426
Naitwa Daniella Lyimo na umri wa miaka 23, nimrefu so sana, sio mweusi wala mweupe, siyo mnene wala mwembamba nipo wastani, elimu yangu kidato cha nne, kazi mfanyabiashara, mzaliwa wa mkoani Kilimanjaro

> VIGEZO VYA MWANAUME NINAYE MTAKA
>Awe na miaka kuanzia 27 hadi 38 asiwe mwembamba wala mnene awe wa wastani, rangi yotote mweupe, mweusi, chocolate sawa
>Asiwe mchaga kabila nyingine sawa
>Awe na mapenzi ya dhati
>Elimu yoyote. Akipatikana anitafute namba nitatoa kidogo awe na mvuto.

=====

Nimepata tayari, asanteni.
 
Mbutaah!... Kiruu. We mtoto kwa nini hutaki kabila lako?
 
Vigezo vyote ninavyo Jovitha tafadhari nakuomba uni pm. Toto la kimanyema mimi eeh
Namiliki boti 6 mitumbwi 4 heka 5 za maharage na mihogo. So tutakula udaga sana na migebuka.
Si unajua migebuka ilivyo mitamu na dagaa mteke wa mawese wakiwa wamelala weee utamu wake usiniambie. Pleazi sitanii natafuta mchumba kweli. Kwetu ujiji
 
Lyimo ww una mvuto?!


Sio ww sepuka halafu unataka sisi wenye mvuto,njoo pm nikuone kwnz
 
Jamaniee dini nimesahau mi mkristo but km akipatikana wa dhehebu lolote Au dini nyingine Hamna tutaongea
 
Naitwa Daniella lyimo na umri wa miaka 23 , nimrefu so saana, sio mweusi wala mweupe, siyo mnene wala mwembamba nipo wastani, elimu yangu kidato cha nne, kazi mfanyabiashara, mzaliwa wa mkoani kilimanjaro

> VIGEZO VYA MWANAUME NINAYE MTAKA
>Awe na miaka kuanzia 27 hadi 38 asiwe mwembamba wala mnene awe wa wastani, rangi yotote mweupe,mweusi, choculate sawa
>Asiwe mchaga kabila nyingine sawa
>Awe na mapenzi ya dhati
>Elimu yoyote... Akipatikana anitafute namba nitatoa kidogo awe na mvuto jamaniee[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Pm umeziona au unazichunia?
 
Back
Top Bottom