Natafuta mpenzi

unguja

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
40
Reaction score
22
Habarini za asubuhi wandugu,

Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.

Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.

Mengine tuongee pm
 
Kwenye picha ndo wewe au?
 
Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja
Ña hii ni yako pia
Ww ni balaa jinsia yako inabadilika kila baada ya mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…