Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Nyie wanaume masingle umu mkuje... Kipepeo uyo kajitokeza
Bahati mbaya anawataka wa Dar tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wanaume masingle umu mkuje... Kipepeo uyo kajitokeza
Karibu Dada, njoo Pm .Mungu akubariki Sana.Habarini za asubuhi wandugu,
Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.
Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.
Mengine tuongee pm
Hivi hii avatar mnaipendea nini?, rudisha ileilewanakuja dada wasubili
Watu kama hawa wanachezea akili zetu, mods fungia huyuNatafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja
Ña hii ni yako pia
Ww ni balaa jinsia yako inabadilika kila baada ya mwezi
Habarini za asubuhi wandugu,
Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.
Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.
Mengine tuongee pm
Kumbe ni dume !
Hahahaa! Ushafika huku..Kuna mambo yanafurahisha sana humu
Mtafutaji asiye chokaHahahaa! Ushafika huku..
Nimemuitia mtu kule akawa hajasoma mchezo...[emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji asiye choka
Napiga doliaNimemuitia mtu kule akawa hajasoma mchezo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole[emoji27]Hii thread ndo imesababisha my Shunie apate ban [emoji34] [emoji34] [emoji34]