Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Mbona hapo mtaani kwenu wamejaa au hawana kipato lakini vuta subra jf wapo wa kumwaga🙄🙄
 
Habarini za asubuhi wandugu,

Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.

Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.

Mengine tuongee pm
Karibu Dada, njoo Pm .Mungu akubariki Sana.
 
wakuu manz4 wa kichaga uyo {jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi?}
 
rttryt.jpg
 
Habarini za asubuhi wandugu,

Kwa yeyote mwenye hitaji kama langu naomba tuwasiliane pm. Mimi ni Ke age btn 26 -28. Nipo Dar kabila mchaga dini christian.

Mwanaume ninayemtaka awe na age at least kuanzia 30 and above awe na shughuli rasmi ya kumuingizia kipato na awe anaishi Dar.

Mengine tuongee pm

Unatafuta mpenzi au ID!! coz kama wapenzi unakutana nao daily hapo mtaani kwako, kanisani/msikitini, sokoni na hata job.. hao wanakutosha bana.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom