Natafuta mpenzi

Mnaotafta wapenzi kupitia jf nawashangaa sana,huko mtaan hakuna? Mtaokota na mambo ya ajabu ndo maana ndoa hazidumu kizazi chetu

Suala la kupata wa kuoa sio jambo rahis rahs kama watu wanavyofikiria

Tufke pahala tuachane na umagharibi ndio wametufikisha hapa tulipo leo
 
Nyie wanaume masingle umu mkuje... Kipepeo uyo kajitokeza

Dah hahahaa, Dada @La majur , mbona unataka kumuharibia mwenzio?, yeye hajasema anatafuta Single sasa wewe ndio unamsemea, utamrushia watu,
Au wewe ndio unatafuta single?
 
we ni jizi, pumbavu, mara nahitaji ke, mara nahitaji me, hopeless
Ona hapa!Natafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja
 
unguja unazingua,

na nahisi utakuwa na jinsia mbili.
leo umekuwa mwanaume halafu mchaga wakati ulishaanzisha uzi unatafuta mke, leo unatka mume utakuwa bwbwa si bure
 
Mi bado nahusianisha hilo jina la avatar yako na kabila lako....Ntakuja huko chumba mahsusi muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…