Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Dah...ha haaaaaSio tatizo, tengeneza cheti kama hatoamini [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...ha haaaaaSio tatizo, tengeneza cheti kama hatoamini [emoji4]
Mjini mipango tuuAsee
Sio kwa kila mtu... Kila mtu ana criteria zake katika kuchagua couple....Mjini mipango tuu
Umri sio kigezo hata [emoji23][emoji23]
Ni sawa lakini nikiamua kukudanganya inawezekana asilimia mia tena hususani sisi tuliojaaliwa miili midogo na baby face [emoji17] lazma uingie kingi mkuuSio kwa kila mtu... Kila mtu ana criteria zake katika kuchagua couple....
Sizan.... Sura itakua imekomaa.... Utanidanganya kwa maneno ngoz itasemaNi sawa lakini nikiamua kukudanganya inawezekana asilimia mia tena hususani sisi tuliojaaliwa miili midogo na baby face [emoji17] lazma uingie kingi mkuu