bigboss1
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 319
- 195
Mimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi ninayo nzuri
3.Awe mkristo.
4.Awe anaishi Arusha au Moshi.
5.Awe anapenda kujali
6.Nataka awe single sitaki wezi i mean unajiibia kuwa na mimi kumbe unamke au demu nope single.
Rangi no colour.
age 31- 36 .
Karibuni if upo Arusha au Moshi