Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Hivi bidada unataka kuolewa na mwanaume mwenye uanaume wa kutosha au waenda kuolewa wa sura yake.
Mie sikatai sawa umri ni janga kwangu,maana nyie mwapenda wanaume wenye umri mkubwa wakaty wapiga shoo za kibabe tupo.
Afuuu wapenda handsome je,

1 Unabikra yako.
2 Unachura bidada.
3 Kimo chako ni kipi.
4 Shape yako ikoje.
5 Toa tabia na madhaifu yako kama akina Inna morata,Beautiful princess, miss nimechoka na wengineo ili wakujue vzr Mabwana.

Mm ni hayo tu subiri waje mabwana wakuchukue ukale life nzury
Mcheki bidada mwenyewe profile hapo alivyoboba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi ninayo nzuri
3.Awe mkristo.
4.Awe anaishi Arusha au Moshi.
5.Awe anapenda kujali
6.Nataka awe single sitaki wezi i mean unajiibia kuwa na mimi kumbe unamke au demu nope single.
Rangi no colour.
age 31- 36 .
Karibuni if upo Arusha au Moshi
ukitaka utampata ila hawezi kamilisha sifa unazo hitaji zote,
hata we hauja kamilika bidada
 
Mimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi ninayo nzuri
3.Awe mkristo.
4.Awe anaishi Arusha au Moshi.
5.Awe anapenda kujali
6.Nataka awe single sitaki wezi i mean unajiibia kuwa na mimi kumbe unamke au demu nope single.
Rangi no colour.
age 31- 36 .
Karibuni if upo Arusha au Moshi
hao wabaya wakawaoe wakina nan sasa...?
 
Back
Top Bottom