Hivi bidada unataka kuolewa na mwanaume mwenye uanaume wa kutosha au waenda kuolewa wa sura yake.Mimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi ninayo nzuri
3.Awe mkristo.
4.Awe anaishi Arusha au Moshi.
5.Awe anapenda kujali
6.Nataka awe single sitaki wezi i mean unajiibia kuwa na mimi kumbe unamke au demu nope single.
Rangi no colour.
age 31- 36 .
Karibuni if upo Arusha au Moshi
Vigezo vimenyooka mbaya ila hicho number moja hicho.. Mwanaume akiwa hendisamu sanaaa mtakuwa mnashindana kununua vipodozi... Halafu kitandani [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]...... Ila Nakuombea sanaMimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi ninayo nzuri
3.Awe mkristo.
4.Awe anaishi Arusha au Moshi.
5.Awe anapenda kujali
6.Nataka awe single sitaki wezi i mean unajiibia kuwa na mimi kumbe unamke au demu nope single.
Rangi no colour.
age 31- 36 .
Karibuni if upo Arusha au Moshi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hio namba 6 kwa wakazi wa arusha/Moshi kuwapata,,,,!!!
Mmhhh,,!!!!
Ni sawa na sungusungu kuiba chapati[emoji1321]
Mshana kwenye English, Kiingereza au kizungu hakuna neno "hendisamu"Vigezo vimenyooka mbaya ila hicho number moja hicho.. Mwanaume akiwa hendisamu sanaaa mtakuwa mnashindana kununua vipodozi... Halafu kitandani [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]...... Ila Nakuombea sana