Natafuta Mpenzi

MtelaHerry

Senior Member
Joined
May 5, 2018
Posts
127
Reaction score
82
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM

This is serious
 
Duh ngoja wanawake wanakuja sisi wanaume hapa tutakua watazamaji
 
Wanakuja mkuu Ila mbona umekata tamaa mapema hivo !
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM
This is serious
 
Mkuu, wakati wanaendelea kuja huko PM hao wahusika, hebu endelea kutuhadithia, ni kipi hasa kimefanya mpaka umekosa mwanamke huko mtaani unapoishi!?

Je, upo bussy sana kiasi usipate muda wa kuonana nao!?

Au labda unaona aibu kutongoza, (ashakumu si matusi), namaanisha labda wewe ni domo zege!!??

Ni kwa wema kabisa mkuu, kama hautajali naomba tubadilishane uzoefu!!
 
Ubize tu mkuu sipati mda wa kujichanganya
 
Ubize tu mkuu sipati mda wa kujichanganya
Mkuu Mtela, ni kweli mpenzi au mchumba anaweza akapatikana popote, hata humu kwenye mitandao, lakini nakushauri, jaribu kwanza kutafuta mtaani, hata utumie watu wakusaidie kama kweli upo serious, kwa sababu inakuwa na guarantee flani hivi, na ukikosa kabisa, basi jaribu kuangalia hata kwenye mitandao rasmi ya kutafuta wachumba kama vile dating.co.tz na mingineyo, ila kama umeshindwa kabisa basi jaribu hapa JF!
 
[emoji122][emoji122][emoji122] pamoja sana mkuu
 
Mkuu kwani wa mtaani na humu wako tofauti?
 
Acha jamaa ajiopolee walioko mtaani ndo Hawa Hawa walioko humu....acha jamaa afanye kile roho yake inapenda, that's why hili jukwaa liko hapa
 
Mkuu kwani wa mtaani na humu wako tofauti?
Kwa maoni yangu, ndio!!
Humu mitandaoni of coarse kuna wanawake wazuri tu pia, hata kwa matendo, na ni wife material haswaa, lakini mpaka uwe na bahati sana kumpata mwenye sifa hizo, walio wengi ni wajuajijuaji, but Mungu atakusaidia utampata umtakaye![emoji3526]
 
Acha jamaa atafte maana hata huku MTAANI tunapata vigarula tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…