MtelaHerry
Senior Member
- May 5, 2018
- 127
- 82
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM
This is serious
This is serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM
This is serious
Ubize tu mkuu sipati mda wa kujichanganyaMkuu, wakati wanaendelea kuja huko PM hao wahusika, hebu endelea kutuhadithia, ni kipi hasa kimefanya mpaka umekosa mwanamke huko mtaani unapoishi!?
Je, upo bussy sana kiasi usipate muda wa kuonana nao!?
Au labda unaona aibu kutongoza, (ashakumu si matusi), namaanisha labda wewe ni domo zege!!??
Ni kwa wema kabisa mkuu, kama hautajali naomba tubadilishane uzoefu!!
hata barabaran hukutan naoUbize tu mkuu sipati mda wa kujichanganya
Mkuu Mtela, ni kweli mpenzi au mchumba anaweza akapatikana popote, hata humu kwenye mitandao, lakini nakushauri, jaribu kwanza kutafuta mtaani, hata utumie watu wakusaidie kama kweli upo serious, kwa sababu inakuwa na guarantee flani hivi, na ukikosa kabisa, basi jaribu kuangalia hata kwenye mitandao rasmi ya kutafuta wachumba kama vile dating.co.tz na mingineyo, ila kama umeshindwa kabisa basi jaribu hapa JF!Ubize tu mkuu sipati mda wa kujichanganya
[emoji122][emoji122][emoji122] pamoja sana mkuuMkuu Mtela, ni kweli mpenzi au mchumba anaweza akapatikana popote, hata humu kwenye mitandao, lakini nakushauri, jaribu kwanza kutafuta mtaani, hata utumie watu wakusaidie kama kweli upo serious, kwa sababu inakuwa na guarantee flani hivi, na ukikosa kabisa, basi jaribu kuangalia hata kwenye mitandao rasmi ya kutafuta wachumba kama vile dating.co.tz na mingineyo, ila kama umeshindwa kabisa basi jaribu hapa JF!
Duh ngoja wanawake wanakuja sisi wanaume hapa tutakua watazamaji
Me mwanaume weweFursa hiyo changamkia
Mkuu kwani wa mtaani na humu wako tofauti?Mkuu Mtela, ni kweli mpenzi au mchumba anaweza akapatikana popote, hata humu kwenye mitandao, lakini nakushauri, jaribu kwanza kutafuta mtaani, hata utumie watu wakusaidie kama kweli upo serious, kwa sababu inakuwa na guarantee flani hivi, na ukikosa kabisa, basi jaribu kuangalia hata kwenye mitandao rasmi ya kutafuta wachumba kama vile dating.co.tz na mingineyo, ila kama umeshindwa kabisa basi jaribu hapa JF!
Haha tangu lini? Wakati Jana tu tuli.......Me mwanaume wewe
Ameeleza yeye ni mwanaume.Sasa fursa inakujaje hapo?Fursa hiyo changamkia
Eeeeeeh wacha ujinga ujue halafu nipe I'd yako ya zamani unanichosha kukuhisi bhanaHaha tangu lini? Wakati Jana tu tuli.......
Acha jamaa ajiopolee walioko mtaani ndo Hawa Hawa walioko humu....acha jamaa afanye kile roho yake inapenda, that's why hili jukwaa liko hapaMkuu, wakati wanaendelea kuja huko PM hao wahusika, hebu endelea kutuhadithia, ni kipi hasa kimefanya mpaka umekosa mwanamke huko mtaani unapoishi!?
Je, upo bussy sana kiasi usipate muda wa kuonana nao!?
Au labda unaona aibu kutongoza, (ashakumu si matusi), namaanisha labda wewe ni domo zege!!??
Ni kwa wema kabisa mkuu, kama hautajali naomba tubadilishane uzoefu!!
Ndo unihisi hivohivo.... anyway nitakupigia hahahEeeeeeh wacha ujinga ujue halafu nipe I'd yako ya zamani unanichosha kukuhisi bhana
Kwa maoni yangu, ndio!!Mkuu kwani wa mtaani na humu wako tofauti?
Sitaki bwana nimechoka kuhisi njoo chumbani uniambieNdo unihisi hivohivo.... anyway nitakupigia hahah
Sikuquote wewe mkuu, Kuna bimdada mmoja ndo ilimhusu sorry mkuuAmeeleza yeye ni mwanaume.Sasa fursa inakujaje hapo?
Acha jamaa atafte maana hata huku MTAANI tunapata vigarula tuKwa maoni yangu, ndio!!
Humu mitandaoni of coarse kuna wanawake wazuri tu pia, hata kwa matendo, na ni wife material haswaa, lakini mpaka uwe na bahati sana kumpata mwenye sifa hizo, walio wengi ni wajuajijuaji, but Mungu atakusaidia utampata umtakaye![emoji3526]