natafuta mpenzi

natafuta mpenzi

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,165
wanajf natafuta mpenzi atakaekua mahabuba na sabuni wa roho yangu.Mimi ni mkweli,mwaminifu na si mbaguzi.ajitokeze mwanamke au mwanaume,mfupi au mrefu,mweupe au mweusi.nawasilisha
 
Kaazi kweli kweli!!

Mimi natafuta dada na kaka wa hiari...ANYONE!!!!!?
 
Nimesghindwa hata kucomment baada ya kuona anatafutwa mpenzi wa kiume au wa kike nikajiuliza duh mbona wanatafutwa wa pande zote mbili
 
wanajf natafuta mpenzi atakaekua mahabuba na sabuni wa roho yangu.Mimi ni mkweli,mwaminifu na si mbaguzi.ajitokeze mwanamke au mwanaume,mfupi au mrefu,mweupe au mweusi.nawasilisha

Mi natafuta nyumba ndogo (mwanamke). Kama we wewe dem tuwasiliane...
 
wanajf natafuta mpenzi atakaekua mahabuba na sabuni wa roho yangu.Mimi ni mkweli,mwaminifu na si mbaguzi.ajitokeze mwanamke au mwanaume,mfupi au mrefu,mweupe au mweusi.nawasilisha

wewe sio mzima!! kwahiyo unapenda mpenzi mwanaume au msichana.

you have to be carefull, yawezekana wewe ni mwananume unatafuta mpenzi mwanaume ukaamua kuufunika ukweli kwa kusema ajitokeze mwanaume au Msichana.

Pole sana, sio kosa lako. huwa inatokea katika maumbile ya binadamu.

Unajua bunadamu yeyote ana hormones za jinsia Mbili yaani me na ke.

Kama wewe ni mwanaume zile hormones za ke zikikutawala zaidi unakua Shoga.

Kama wewe ni mwanamke zile hormones za Me zikikutawala zaidi unakua kama kadada fulani kalikua katangazaji ka Planet Bongo
 
Duuh, hii kali..wabongo tunazidi kupotea.
 
nahitaji msaada jamani na niko serious kweli kweli
 
Naaah...no need to rain on somebody else's parade. Just start one exclusively for you.
<br />
<br />
we nyani mimi naona ushampenda huyo dada sasa kapumzikeni niendelee kusaka laazizi wangu
 
Sasa ulishawahi kuona kaka mwanamke jamani?!Karibu sana!

Nilianza kujiintroduce mapema. Coz kwenye post yako uliweka either of..thanks for!!! Nitakucheki baadaye..
 
Back
Top Bottom