Natafuta mpenzi

Kwa vigezo ivyo ata akitaka kulala hoteli ya nyota tano daily mwanaume hautajutia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema we jamaa kigezo cha usafi umekiondoa
 
Kwa ii luga uwezi pata muanamuke muzuli.ujui kiingeleza wala kisuahili.ueleweki kabisa ndungu yagu.umesoma aulivo andika? Uwezi pata mtoto muzuli.😂😂😂😂😂😂😂😂

Kwa ii luga uwezi pata muanamuke muzuli.ujui kiingeleza wala kisuahili.ueleweki kabisa ndungu yagu.umesoma aulivo andika? Uwezi pata mtoto muzuli.😂😂😂😂😂😂😂😂
Wangap hawajui lugha na wanagonga shavu kali mjin acha uzwazwa ww leta maon na sio kashfa
 
Sasa we sura lako hujaweka watajuaje....maana nao Sasa ivi wanavigezo vyao
 
Unataka niweke sura langu mtandaon ili nitukanwe km anataka kuniona labda PM
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]inaonekana unaogopa Sana kutukanwa Sana...
Sijui kitoto Cha mwisho kwenu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]inaonekana unaogopa Sana kutukanwa Sana...
Sijui kitoto Cha mwisho kwenu
Siogopi ila matusi plus picha ni hatar waweza shangaa yamefika mtaan sasa ntakuwa mgen wa nan
 
Mtego wa panya huo[emoji38][emoji38] wakubwa wameshaelewa hasa hizi nyakati za 28102020
 
Kuwa na subira utampata tuu
 
Huwezi kupata mke wa sifa hizo huku, huku kuna wenye umri mkubwa makalio flat wenye watoto na sura za kutisha hahahahaha utakuja kunambia ukipata.

Jokes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…