Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa ninafanya kazi Posta kwenye kampuni ambayo jina nimelihifadhi.
Mpenzi ninaye mtaka awe na sifa zifuatazo:
1. Awe na makalio makubwa na figa nzuri
2. Asiwe na tumbo kubwa
3. Awe na matiti makubwa yaliyosimama na mazuri
4. Asiwe amezaa
5. Awe mkazi wa Dar-ea-Salaam
6. Awe na miaka 22 au chini
7. Awe na sura nzuri yenye kuvutia
Matusi sitaki