Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

chigoko

Member
Joined
May 7, 2018
Posts
25
Reaction score
58
Natafuta mpenz wa kuwa nae na Mungu akijalia tuje kuoana mbele kama tutaendana mimi napatikana Dodoma mipango kama uko tayari njoo PM umri usizidi miaka 28 na asiwe na mtoto na awe mkristu
 
Wapenziiii mkuje hapa, kuna fursa ya bureee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maelezo hayana mafuta wala chumvi hautampata mtu uko pm au ww ni upinde! Manake Maelezo yanaweweseka
 
Back
Top Bottom