naturesolve
Member
- Jul 21, 2022
- 18
- 21
Nina umri wa Mika 30, jinsia yangu nimvulana. Nina elimu ngazi ya diploma, naishi Dar, ni mweusi angavu.
NATAFUTA mpenzi mwenye vigezo; Awe na uelewa wa kujitambua, awe mtu wakujishughulisha ameajiriwa au amejiajiri, umri uwe Mika 24 mpaka 30 na awe mkazi wa dar au akiwa wa mkoani awee na uwezo wa kuja dar kwa mfuko wake.
Alioko teyari ANITAFUTE.