Natafuta Mpenzi...!

Natafuta Mpenzi...!

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
629
Reaction score
449
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40, niko Kahama. Nahitaji mwanamke awe mpenzi wangu. Sina ubaguzi wowote. Aliye tayari tuwasiliane kwa PM.
 
kutana na dinam nae ana miaka hyohyo 40 nadhan mtaendana! Ila mbona umechelewa sana au umefiwa?
 
Mkuu, ulikuwa bado tu? Why? Au shemeji katangulia mbele za haki?
 
Teh, mke mwema anatoka kwa Mungu hatoki FB, then mkuu huna hata workmet hata xul met
 
Ujaeleza vizuri Mkuu... Una mke tayari na sasa unataka nyumba ndogo? Open up.....
 
Back
Top Bottom