Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Mtaani unapoishi hakuna mademu kabisa?
Kwani ni lazima iwe mtaani kwake?
Acheni kuzingua kama haikuhusu acha taarabu zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaani unapoishi hakuna mademu kabisa?
Hello JF?
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-
JINSIA : MWANAMKE (asiye kwenye ndoa)
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali
DINI: Mkristo
WASIFU: Mzuri wa umbo, asiwe mnene wala mwembamba sana,mwenye kimo cha wastani, mweupe au maji ya kunde
MAHALI: Dar es Salaam au Mikoa ya Jirani
MALENGO: Ndoa (Baadaye)
Tafadhali wale walio serious tu wani-pm kwa mawasiliano zaidi.
Umnunulie na helmet kabisa na yeye wasije waka m concussion:-DNiPM nikuunganishe na Lulu
Kwani wewe una miaka mingapi?kila la heri, bt miaka tu imenidisqualify!
Naitwa sylvatory(26) nipo morogoro natafuta anaetaka kupewa penzi la dhati cna vigezo maadamu tupeane bila hiana alie serious anicheki 0714455551