Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Snia

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49
Reaction score
6
Umri wangu miaka 22, ni mwanafunzi wa chuo kikuu, ni mrefu, handsome na black wa kawaida nko serious jamani yoyote ambaye ana sifa zifuatazo aniPM; awe mwembamba wa kati,awe tayari kupima afya,uzur ni cfa ya mwanamke, umbo la kawaida,awe na umri kuanzia miaka 19-26, nk waiting for you
 
mtoto mtoto sooomaaa ka UE hakoooo kanakuja,,,,,teh teh teh
 
nipo chuoni mbeya natafuta girl friend, elimu kuanzia form 4 na kuendelea. awe na umri miaka 18-24. awe serious jamani.

tuwasliane kwa no.0782 190697
 
Back
Top Bottom