Snia
Member
- Apr 3, 2012
- 49
- 6
Umri wangu miaka 22, ni mwanafunzi wa chuo kikuu, ni mrefu, handsome na black wa kawaida nko serious jamani yoyote ambaye ana sifa zifuatazo aniPM; awe mwembamba wa kati,awe tayari kupima afya,uzur ni cfa ya mwanamke, umbo la kawaida,awe na umri kuanzia miaka 19-26, nk waiting for you