Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

meba

Member
Joined
May 5, 2012
Posts
99
Reaction score
9
Kwanza naomba kama aikuhusu usitoe comment na matusi pia kejeli sitaki, mwenye nia nzuri na mimi anitumie masiliaono maana serious ishu, kama wewe ni msichana mwenye tabia nzuri na unajiamini tupe conduct zako au unibipu kwa namba hizi 0656179600 mimi nipo Mwanza kimasomo mkazi wa Arusha. Note, mimi sio kwamba siwezi kutongo ila hii ndo njia niliochagua mpenzi wangu na nahidi nikimpata nitaonyesha jamii kwamba hata kama mmekutana kwenye mtandao mnaweza hata kuwashinda wale wanaopinga mapenzi ya kwenye mtandao hii ni karne nyingine mbona Wazungu wana tumia na wanafanikiwa kuliko sisi, vijana tuache tabia ya kizamani, mimi namtafuta mpenzi na msichana alietayari ajitokeze sijali dini wala kabila
 
Mkuu Meba,

Ningekuwa mimi ningeanza hivi; Mimi ni kijana wa umri ....., natafuta mpenzi ambaye nategemea tutafunga pingu za maisha. Mpenzi mtarajiwa awe na umri kuanzia ........ Sichagui rangi, umbo wala kabila (kama huna sifa unazozihitaji), awe mkristo au mwislam na sifa nyingine unazozihitaji. Namba yako ya simu......

Maneno mengine uliyoyaweka hapo juu hayana mantiki.
 
Back
Top Bottom