Natafuta mpenzi.

Natafuta mpenzi.

MPIKUSASA

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
112
Reaction score
6
mimi ni kijana wa kiume miaka33, rangi ya maji ya kunde,mrefu wastani,nimejaa wastani,mcheshi na mwongeaji, ni mwajiliwa wa sirikali,pia ni mjasiriamali. Napenda mapenzi huru, kwa hiyo naingia katika mjengo huu wa jf kutafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo, awe na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea, slim figure, awe na uwezo kiuchumi wa kuweza kujihudumia mwenyewe na mtu mwtngine. awe huru kutoka bila ya kizuizi chochote muda wowote isipokuwa kwa sababu zenye kuleta matokeo hasi.kama nia wewe acha email yako unapocomment.
 
mweee....hapo kwenye red nina wasiwasi...........kwa mstari huo.....sijui........labda mambulula.....au nungayembe........
 
kuna ule wimbo unaimbaga
unapenda vya bure vya bure wewe kaka vipi....unaujua
 
hebu weka tuusikilize........
mmmmh......nahisi uchachuuuuuuuu..........
 
Hapa hakuna mtafuta mchumba. Masharti utadhani mganga wa kienyeji!!
 
Kama kawaaaa komaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mimi ni kijana wa kiume miaka33, rangi ya maji ya kunde,mrefu wastani,nimejaa wastani,mcheshi na mwongeaji, ni mwajiliwa wa sirikali,pia ni mjasiriamali. Napenda mapenzi huru, kwa hiyo naingia katika mjengo huu wa jf kutafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo, awe na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea, slim figure, awe na uwezo kiuchumi wa kuweza kujihudumia mwenyewe na mtu mwtngine. awe huru kutoka bila ya kizuizi chochote muda wowote isipokuwa kwa sababu zenye kuleta matokeo hasi.kama nia wewe acha email yako unapocomment.

mmmmh......tawilee!...
 
Back
Top Bottom