Natafuta mpenzi

ops

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Habari za leo Wana jamiiforum. Moudy wa Sinza, Natatufuta mpenzi mwenye umbo nzuri, awe na tabia nzuri, asiwe mlevi, awe anaishi Dar,Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, umri kuanzia 22- 27, nipo serious, kwa mpenzi nitakayempata nina malengo naye kama tabia yake nzuri. nicheki kwa E-Mail mhassani84@yahoo.com asnteni naomba kuwakilisha.
 


Tupe wasifu wako kwanza.
 

ngoja waje wanaotafuta waume.
 
tangu umeanza kutafta wachumba hapa jukwaani hujapata tu,jaribu kubandika na picha yako labda unaweza kufikiriwa.
 
Wapo watu kwa ajiri ya kuumiza watu humu jukwaani
Yaani kazi yao kuchukiza watu tu. Unapost kitu baada ya kukusaidia andika upuuzi.
kama vp bwana mndogo komaa utapata tu.
 


Weka picha yako na majibu ya ukimwi ya hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…