Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

.Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi:
sifa;
1.awe na kazi inayotambulika.
2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee.
3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi
4.awe msafi wa ndani na nje.
5.awe msomi kiasi na anayejielewa kimaisha.
6.anayependelea kumcha mungu.
7.awe mpenzi xa kuvalia ti-na jeans+raba ila si lazima
8.awe na mapenzi ya dhati.
9.awe na heshima na mwenye kuheshimu mawazo ya mwenziwe.
10.asiwe mlevi.
Mawasiliano ani PM Au on tweet= Kababyto@yahoo.com

nipo tayari vigezo na sifa zote ninazo fanya kama unani pm hv mkuu!
 
Kigezo no_ 3 mi mwembmba tu!
4 Sio msomi!
7 t- na jeans + raba sio hoby yangu
bt vigezo vingine ninavyo hapo vp!!!?
Ila nawewe hujaelezea sifa/Vigezo ulivyonavyooo...!!?
 
Wanawake mmetuzidi idadi so haina shaka, siku mkikosa wa kuoa mtapunguza conditions
 
Nilitarajia ungeweka sifa zako kwanza, ndipo utaje sifa zile unazo zitaka, nahisi umechemsha.
 
Vigezo ulivyoviweka tuu inaonyesha umburura wako, awe msomi kiasi, sasa kiasi gani dada angu? Awe na kazi inayotambulika, kutambulika wapi? Mahakaman, serikalin, msikitin au kanisan? Awe anaependa kuvaa t-shirt na jinzi, kwahiyo kila mahali majinz tuu? amekuwa msanii wa kizazi kipya?. Kuwa specific afu na wewe weka details zako, siyo unajifanya jaji wakati mwenyewe ni mwizi mzuri mtaan kwako
 
Tunaomba taarfa za awali uwajuze wana jamvi kama umesha pata au ndo uko kweny selection, toa hiyo first draft
 
toa maelezo yako kama una nia, halafu mbona huonekani jamvini? umeweka hitaji na kutoweka.
 
Back
Top Bottom