Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

ALEIN

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
27
Reaction score
1
cna mengi zaidi ila we kama uko poa niambie kupitia aleinerick@gmail.com umri wangu miaka 30 yeyote mwenye mapenzi ya kweli.
 
Mpenzi wa kweli tafadhali jitokeze um-butue Mkuu hapa.
 
cna mengi zaidi ila we kama uko poa niambie kupitia aleinerick@gmail.com umri wangu miaka 30 yeyote mwenye mapenzi ya kweli.
Sasa huna mengi unafikiri mtu atajileta tu wakati haujajieleza?
1.jinsia yako
2.Sababu za kuhitaji mpenzi( je ni kuoa/kuolewa naye au wa hit and run)
3.kazi yako(umejiajiri au umeajiriwa) nk..... funguka unafikiri watakuja kichwa kichwa tu kuna mengi wanatakakusikia kutoka kwako ebo!
 
we ni male/female?kwanza tuanzie hapo kabla hatujawaruhusu kuja.au unataka yoyote itakayokua rizrki yako?
 
cna mengi zaidi ila we kama uko poa niambie kupitia aleinerick@gmail.com umri wangu miaka 30 yeyote mwenye mapenzi ya kweli.

ni mwanamume nimejiajiri
 
Kuna hawa walioshindwa mapigano kongo...kuna 'wapenzi' wengi tu ila sijajua ulihitaji jinsia ipi hasa!
 
Back
Top Bottom