Natafuta mpenziiiii.KAMA UPO TAYARI VIEW SIFA ZAKE

Joined
Jan 9, 2013
Posts
46
Reaction score
3
Natafuta mpenzi mwenye umri usiozidi miaka 21.awe mwenye utimamu wa kuchanganua na kupambanua mambo kwa uelewa wa akili.awe mrefu saiz ya wastani,awe mrembo anayefahamu lugha mbili yaani english na kiswahili.
Awe mweupe na mrembo mwenye tabasamu mwanana.
Kama u tayari tuwasiliane kupitia numba angu hapo chin
0758410294.
 
Hivii, umeshaenda angalia majibu yako ya Form IV? unajua kama yameshatoka?
 
Unatafuta mwanaume ama mwanamke? Maana haujulikani kama wewe ni jike ama dume?
 
Natafuta mpenzi mwenye umri usiozidi miaka 21.awe mwenye utimamu wa kuchanganua na kupambanua mambo kwa uelewa wa akili.awe mrefu saiz ya wastani,awe mrembo anayefahamu lugha mbili yaani english na kiswahili.
Awe mweupe na mrembo mwenye tabasamu mwanana.
Kama u tayari tuwasiliane kupitia numba angu hapo chin
0758410294.

mbona weupe wamejaa lundo lukuki huko Singida!
 
Back
Top Bottom