Natafuta mpezi wa kike ambaye ni H.I.V+

Natafuta mpezi wa kike ambaye ni H.I.V+

Hi guys

Mimi ni kijana wa miaka 33 naishi NJOMBE nimegundulika na maambukizi ya VVU last month. Najishughulisha na biashara ya mazao, Elimu ni Degree ya Education, si mfupi si mrefu mwili wa kwawaida na nimeanza kutumia ARV, nipo vizuri kabisa

Nimekuja humu kusaka mchumba ili tuweze kuwa mme na mke kama tutaridhiana. Nilikuwa na mchumba lakini tulipoenda kupima ili tuoane nikakutwa nina shida ikabidi tuachane

Mwenye nia ya dhati anicheki inbox. Asanteni wapendwa
Hongera Sana mdogo wangu kwa hakika wewe ni shujaa! Na utaishi maisha ya furaha na amani kuliko walio Negative!
Nakutakia Kila la kheri mola akupe hitaji la moyo wako.
 
Hi guys

Mimi ni kijana wa miaka 33 naishi NJOMBE nimegundulika na maambukizi ya VVU last month. Najishughulisha na biashara ya mazao, Elimu ni Degree ya Education, si mfupi si mrefu mwili wa kwawaida na nimeanza kutumia ARV, nipo vizuri kabisa

Nimekuja humu kusaka mchumba ili tuweze kuwa mme na mke kama tutaridhiana. Nilikuwa na mchumba lakini tulipoenda kupima ili tuoane nikakutwa nina shida ikabidi tuachane

Mwenye nia ya dhati anicheki inbox. Asanteni wapendwa
Si uoe alokuambukiza
 
Back
Top Bottom