comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
- Thread starter
- #61
Hahahahaah ukiniona live unaweza ukanipa hata dada yako mambaz wewe!nakutakia baraka njema kwenye maisha yako mapya na kiemolo chako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaah ukiniona live unaweza ukanipa hata dada yako mambaz wewe!nakutakia baraka njema kwenye maisha yako mapya na kiemolo chako.
Heee kumbe ni kifupi nyundoo kiemolo hahaaa, ila ntakua nakiona kama mnara,na huu urefu,kitakua kinapanda kwenye stuliiinakutakia baraka njema kwenye maisha yako mapya na kiemolo chako.
Sio kweliavatar yako inanipa taswira ulivyo na ndio maana unataka mwanamke mzuri[emoji16][emoji16][emoji16]
Itabidi uende naye hata mbinguni.Mbele ya mboni za macho yenu ndugu watazamajii!
Mfanyabiasha mkubwa na mwanasaikolojia KIPEPE, Nipo hapa kutafuta mtoto mkaliiiiiiii!!!
Ebbanaaaa! Uwe mkali aseeee! Maana komredi ni Kijana tajiri niliesimika Jumba la kifahari katika Jiji la Dar.. Nahitaji mama mwenye nyumba uwe mzuuuuriiiii!!!!!
Changamkienii fursa aseeeee!!!
Huyu hapa chini ni MFANYAKAZI WANGU WA NDANI a.k.a BEKI 3, Uwe mzuri kumzidiiiii, kabila lolooote.
View attachment 1141545
Itabidi uende naye hata mbinguni.
Msiishie duniani tu.